Lyrics to Mungu
Mungu Video:
(Lokua Kanza)

Watu wana tafuta ukweli

Mapendo kwenye iko ni mbali

Duniya ni iko na liya liya

Watu wana fika sa wa nyama

Nani ata weza kusema ye ni kweli

Inabakiya tu mungu atu poneshe
Songwriters: KANZA, LOKUA
Publisher: Lyrics © Peermusic Publishing
Powered by LyricFind