Lyrics to M'barik Fall
M'barik Fall Video:
Kama haumujuwe

Kama hujamuona

Ni yeye M'barik Fall

Amekwenda peke yake

Mutoto akafika ulaya

Njo yeye M'barik fall

Ni sekele ni sekele ya ye





Ukapigana ukawina

Baba yo moko bwana M'barik Fall

Battling Siki

Ukapigana ukawina

Baba yo moko bwana M'barik Fall





Wakaku ita ugombane

Ukamupiga muzungu

Bila dawa M'barik Fall

Ahiyama ahiyele maye o

Ni sekele ni sekele ya ye
Songwriters:
Publisher:
Powered by LyricFind